Wednesday, April 16, 2008

dhahama kwa kibaka !!


Wadau, bado kuna baadhi ya watu wanajichukulia sheria mkononi kama hivi,suala ambalo linapigwa vita na wanaharakati mbalimbali wakiwemo wa haki za binadamu,Picha hii imepigwa na Deus Mhagale hivi karibuni pale maeneo ya IFM jamaa alipokuwa akikwapua mali za watu, basi akakumbana na dhahama kama hii

No comments: