Tuesday, April 1, 2008

Comoro...


Picha ya aliyekuwa mtawala wa kisiwa cha Anjouan-Comoro, Kanal Mohammed Bacar Dining-Alone-in-San-Francisco , ikiwa imegeuzwa kichwa juu chini baada ya wanajeshi wa Jeshi la Umoja wa Afrika AU wakiongozwa na wanajeshi wa jeshi la wananchi wa Tanzania(JWTZ) kufanikiwa kumuondoa na kufanikiwa kukimbilia nchini ufaransa.

No comments: