JAMANI NDIO KWETU IFAKARA MAANA NILIKUWA NAHITAJI KWENDA HUKO WIKI IJAYO TU ILA KUNAMDAU KANIONYESHA JINSI HALI ILIVYO ILA MAMBO YA AHADI YA CHAMA CHAMA MAPINDUZI AU NDIO MAMBO YALE YAKE YA KUKU NA KIFARANGA KITANYONYA MPAKA KINAKUWA KINASHINDWA KUOMBA ZIWA TENA JAMANI MNAOHUSIKA MLIANGALIE HILI NA HII NI SEHEMU PIA YA TANZANIA VILE VILE. ILA UKWELI NIMEMWAGA
1 comment:
blogu yako nzuri,lakini nadhani ungewatendea haki bloggers wenzio kwa ku-acknowledge matumizi ya picha zao kwenye blog yako.
Post a Comment