Jana jioni kuna mdau alikatiza mitaa ya Block 41 Kinondoni. Maeneo hayo ndipo ilipo ngome ya 'Kikosi cha Mizinga'. Hawa jamaa ni maarufu katika kinachoitwa muziki wa kizazi kipya wenye tofauti na wenzao wengi. poa shukrani mdau na pia mtume jamani kwa mail ya kadidi2@yahoo.com
No comments:
Post a Comment