Saturday, April 12, 2008

Hapo Vipi?


Uwanja wa Taifa unakaushwa kwa godoro ili uwe mukide kwa ajili ya mpambano! Wahandisi oyeeeee!
Akili mukichwa! Ndiyo maana ikaitwa Bongo Daslam! ( Asante ya picha na maelezo kwa Da' Subi)

No comments: