Friday, September 4, 2009

obama kama john f. kennedy?
John F. Kennedy, Rais wa 35 wa Marekani, anashabihiana sana kwa mambo mengi na Rais 44 wa nchi hiyo, Barack Obama, mojawapo ikiwa ni pamoja na mazoea yao ya kwenda Ikulu na watoto ambao wanakuwa huru kujirusha ofisini kwa baba watakavyo.

No comments: