JK AFUNGUA MAZOEZI YA PAMOJA YA MAJESHI YA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI
akiipeperusha bendera ya Umoja wa jumuiya ya Afrika mashariki kuashiria kuzindua rasmi mazoezi ya pamoja ya kijeshi ya nchi za jumiya hiyo huko Monduli, Mkoani Arusha jana asubuhi.
Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange akimwonyesha Amiri Jeshi mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete maeneo ya makao makuu ambapo Mazoezi ya pamoja ya kijeshi ya nchi za Afrika Mashariki yanafanyika wakati Rais alipofungua rasmi mazoezi hayo huko Monduli,Mkoani Arusha jana.Kulia ni Kamanda wa Kamandi ya majeshi ya nchi Kavu Meja jenerali Winjoynes Kisamba.

Baadhi ya makamanda waandamizi wa majeshi ya nchi za Afrika Mashariki wakiomwonesha Amiri jeshi mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete uwanja na maeneo ya Mazoezi ya pamoja kutoka katika kilima cha Nodosoito huko monduli mkoani Arusha jana asubuhi.
Picha na mdau Freddy Maro wa Ikulu
No comments:
Post a Comment