BASI LA SINGIDA AIR LINES LAWAKA MOTO mchana Jana
NDUGU HABARI .
NIKIWA NJIANI KUTOKA MWANZA NIMEKUTANA NA AJALI INGINE YA MOTO BASI LA ABILIA KUTOKA SINGIDA KWENDA DAR LILIPATA HITILAFU YA UMEME NA TAIRI HIVYO KUSABABISHA MOTO HUO. KWA BAHATI NJEMA ABILIA WALIKUWA CHINI WAKICHIMBA DAWA LAKINI DEREVA ALIKUWA AKICHUNGULIA CHANZO CHA MOTO NDIPO TAIRI LILIPOPASUKA NA KUMJERUHI MACHONI AKAKIMBIZWA MANYONI KWA MATIBABU.
POLISI WALIFIKA KWA KUCHELEWA INGAWA SIMU ZILIPIGWA MAPEMA MNO. NA HATA POLISI WALIPOFIKA WALIKUWA WAMESHEHENI SILAHA KALI BILA HATA NDOO YA KUSAIDIA KUZIMIA MOTO HUO.
HAPA SASA NIKO DODOMA NJIANI KUJA DAR ES SALAAM
"EMMANUELEY MGONGO"
ASANTE MDAU KWA PICHA
No comments:
Post a Comment