JK akifunua kitambaa kufungua rasmi jengo jipya la ubalozi jijini Washington Marekani Jengo jipya la ubalozi jijini Washington Marekani ambalo JK alilifungua. Jengo hili limenunuliwa na serikali ya Tanzania kwa jumla ya dola za kimarekani $10,415,000. Chini JK akisaini kitabu cha wageni katika ofisi ya Balozi iliyopo katika jengo jipya la Ubalozi wa Tanzania jijini Washington Marekani .Kushoto ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard Membe na wapili kushoto ni Balozi wa Tanzania Washington Ombeni Sefue
JK akisalimiana na wageni mbalimbali na mabalozi waliohudhuria sherehe za ufunguzi wa jengo jipya la ubalozi jijini Washington Marekani zilizofanyika
JK akitoa hotuba yake wakati wa ufunguzi wa jengo jipya la ubalozi jijinji Washington Marekani. Picha na mdau Freddy Maro wa Ikulu
No comments:
Post a Comment