JK alipotembelea makao makuu ya tume ya nguvu za atomiki a-taun wiki hii !!
Mtafiti katika makao makuu ya Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania Bi.Furaha Chuma akitoa maelezo kwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete jinsi ya kudhibiti mionzi waka Rais alipotembelea makao makuu ya Tume ya nguvu za Atomiki huko Njiro,Mjini Arusha .Wapili kushoto ni naibu waziri Wizara ya Sayansi na Teknologia Maua Daftari na kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Tume ya Nguvu za Atomiki Profesa John Kondoro.
Mkurugenzi wa Kitengo cha Teknolojia ya Nuklia Firmini Banzi akimwonesha Rais Jakaya Kikwete kifaa maalumu cha kutambua mionzi hatari wakati Rais kikwete alipotembelea Makao Makuu ya Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania huko eneo la Njiro,Mjini Arusha. Pembeni ni naibu Waziri wa Sayansi na teknolojia Maua Daftari. Picha na Freddy Maro.
No comments:
Post a Comment