BREKING NYUUUZZZ: KANYE WEST AJA KUKWEA KILIMANJARO

KANYE ANAKUWA MTU MASHUHURI WA PILI KWA MWEZI HUU KUJA KUKWEA KILELE CHA AFRIKA. JUZI MMILIKI WA CHELSEA FC ROMAN ABRAMOVICH ALIKUWA HUKO JAPO HAKUFIKA KILELENI.
MASTAA KIBAO, IKIWA NI PAMOJA NA DAVID BECKHAM, INASEMEKANA WAMEPANGA KUJA KUKWEA KILIMANJARO. NI MATUMAINI YA GLOBU YA INAWEZEKANA NA WADAU KWAMBA WAHUSIKA WA UTALII HAWATOLAZA DAMU KWA PROMO HII YA DEZO. ILA USISHANGAE MAMBO YAKIWA YALE YALEEEEE..
No comments:
Post a Comment