Friday, September 4, 2009

mpiganaji mpya ubalozi wa marekani atambulishwa
Afisa Uhusiano na Msemaji mpya wa Ubalozi wa Marekani nchini Dk. Ilya D. Levin akizungumza na Amos Malongo (Kushoto) na Mlongetcha Mkuku, ambao ni wanachama wa Chama cha Watanzania waliosoma Marekani wakati wa hafla fupi ya kumkaribisha nchini iliyofanyika usiku wa kuamkia juzi jijini Dar. Dk. Levin anachukua nafasi ya Jeffery A. Salaiz aliyehamishiwa Abuja, Nigeria. (Picha kwa hisani ya Ubalozi wa Marekani)

No comments: