Saturday, February 20, 2010

Watoto wa Babu Seya wavunja ukimya, Wazungumza na VOA
Wakili upande wa utetezi Mh. Mabere Marando,
akiwapongeza watoto wa Babu Seya walioachiliwa
huru siku rufaa yao iliposikilizwa

Watoto wa Babu Seya, Nguza Mbangu na Francis, ambao wiki iliyopita waliachiliwa huru na mahakama ya rufaa nchini Tanzania katika kesi ya ubakaji wamezungumza na Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Amerika -VOA - na kueleza masikitiko yao ya kufungwa bila makosa, maisha yao gerezani, jinsi walivyopokelewa baada ya kutoka gerezani na matumaini ya hatimaye kuachiwa kwa baba yao Nguza Viking na kaka yao Papii Kocha.


Kusikiliza mahojiano hayo telembelea
www.voanews.com/swahili

No comments: