Monday, February 15, 2010

salamu toka tegeta

Kaka ,
Napenda kuwatakia Watanzania wote sikukuu njema ya wapendanao. Naimani hutonibania hii picha!
Mdau wa Tegeta

du ila imechelewa usiogope haikufika kwenye siku yenyewe pole kwa hilo.

No comments: