Tangazo la serengeti lakini sio kwenyewe hapa ni uk na simba wako utumwani na hali ya hewa mbaya
simba wakiwa ktk uzio mkubwa wa waya
Ukifanikiwa kutembelea zoo ya whipsnade pale maeneo ya dunstable kwenye county ya bedfordshire,uk,utakutana na vibao vya maisha na picha za wamasai na maisha ya serengeti kwa jumla na kwa kweli simba hawa wanapata shida kutokana na hali ya hewa na mazingira wanayoishi,picha za juu ni ushahidi na video ya chini ni clip ya simba hao wanavyokuwa karibu na watu.
No comments:
Post a Comment