JK akagua athari za mafuriko kilosa jana
JK akipanda kiberenge tayari kukagua uharibifu wa reli uliofanywa na mafuriko kando ya mto Mkondoa huko Kilosa jana.
JK akikagua kingo za mto mkondoa uliofurika na kuleta hasara kubwa ya mali katika mji wa Kilosa.
JK akiangalia reli iliyosombwa na maji ya mto Mkondoa wilayani Kilosa jana asubuhiPicha na mdau Freddy Maro wa Ikulu
No comments:
Post a Comment