Wednesday, February 17, 2010

Mwananchi na Mgambo wa Jiji
Mgambo wa jiji na Mfanyabiashara wa mifuko ya plastiki wakiwa wamekunjana baada ya mfanyabiashara huyo kukutwa akiendelea na biashara yake katika eneo la Soko la Kariakoo jijini Dar es Salaam jana ambalo haliruhusiwi kwa wafanyabiashara hao.Picha na Piga picha Maalum wa Mwananchi.

No comments: