Monday, February 8, 2010

ofisi za south african airways dar zateketea kwa moto
mlinzi akilinda ofisi za south african airways katika jengo la sophia house mtaa wa bibi titi street jijini dar ambazo zimeshika moto akisubiri faya wafike mapema leo asubuhi. sehemu kubwa ya ofisi na mali vimeteketea katika moto ambao chanzo chake bado hakijatajwa hadi baada ya uchunguzi wa kitaalamu kukamilika
wenye ofisi hiyo inayowaka moto, majirani na wapita njia wakihamanika wakisubiri faya
faya wanafika na kuanza kazi ya kuuzima moto huo.
mbinu za kifaya-faya ilibidi zitumie kuweza kuudhibiti moto huo






No comments: