Friday, February 26, 2010

habari zilizonifikia Punde !!
Mwanamziki Mkongwe Hamisi kitambi amefariki Dunia leo mjini Dar! Marehem aliwahi kuwa mwanamziki wa Msondo Ngoma na Tabora Jazz,mungu amlaze pema peponi