Saturday, January 1, 2011

LADY JAYDEE PURE DRINKING WATER IMEZINDULIWA RASMI LEO...PARADISE CITY HOTEL.


Haya ndio maji ya kunywa yaliyopewa jina la Lady JayDee Pure Drinking Water, na leo mchana ndio yalikuwa yakizinduliwa pale Paradise City Hotel iliyoko katika jengo la Mkapa House Posta. Maji haya yanatengenezwa na kampuni ya MeTL,
Mohammed Enterprises Tanzania LTD

Pia mwanadada JayDee amechaguliwa kuwa katika kundi la RockStar ambapo anakuwa na wenzake kama Ally Kiba, AY, Mwana FA na Marlaw.
Pichani ni Christine Mosha "Seven" muwakilishi wa MTV Base kwa Tanzania na RockStar East Africa akiongea machache wakati wa mkutano huo.

Hivi unajisikiaje ukinywa maji yenye nembo ya msanii wako yule unayempenda.

Flavian Matata, DJ Choka & Fiderine

No comments: