Tuesday, January 25, 2011

NEWS ALERT: Wanafunzi mwaka wa kwanza huo Kikuu cha Ruaha university college nako wagoma leo


Wanafunzi wa mwaka wa kwanza wa chuo cha Ruco wakiwa katika mgomo leo wakishinikiza bodi ya mikopo kuwaingiza fedha zao za kujikimu kiasi cha shilingi 300,000 kama ilivyokuwa katika vyuo cya Mkwawa cha Irinda na UDOM cha Dodoma hivi karibuni.
Picha Na Francis Godwin

No comments: