Tuesday, January 11, 2011

china yakabidhi chuo kikuu cha kitaifa cha kijeshi leo

Waziri wa Ulinzi na JKT Dk. Hussein Mwinyi na Meja Jenerali Qian Lihua kutoka nchini China wakikata utepe wakati wa makabidhiano ya Chuo cha Kikuu cha Kitaifa cha kijeshi (National Defence College) kilichojengwa Kunduchi jijini Dar es Salaam leo.
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Davis Mwamunyange akiwa ameshikilia mfano wa funguo baada ya kukabidhiwa na Meja Jenerali Qian Lihua kutoka nchini China ikiwa ni ishara ya kumkabidhi chuo hicho.

No comments: