Saturday, January 22, 2011

Shughuli ya hitma

Familia ya J.s.Makunja na Bi.Moza Mpili,
Inawatarifu ndugu,Jamaa na marafiki wote kuwa
Shughuli ya hitma na arobaini ya Marehem Hassan Jumanne Makunja,
Itafanyika tarehe 29.01.2011 kuhamkia 30.01.2011 huko mjini utete/Rufiji
kwa mama wa marehem.
Marehem Hassan Jumanne Makunja
Amezaliwa 4-03-1964 amefariki 19-Dec-2010

taarifa zaidi wasiliana namba hii 0787532929 au 0718893419, Bi.Ummy Makunja

0784617961 Bi.Zaituni Hamisi
082249496 Saleh Makunja

No comments: