Friday, January 7, 2011

Mti waangukia magari Dar leo
Mti unaoonesha umekula chumvi nyingi mchana huu umeangukia magari mawili yaliyopaki mtaa wa Jamhuri jijini Dar na kusababisha uharibifu mkubwa wa gari moja
wananchi wakipita karibu na ajali hiyo
Kioo cha mbele kimepata madhara, gari lingine limesevu kiasi
Kioo cha nyuma kwishnei

No comments: