
Mpigapicha wa Tanzania Standard Newspapers Ltd (TSN) Mroki Mroki(mwenye nyeupe), akiwa kwenye gari la kijeshi mjini Anjouan juzi.Majeshi ya Umoja wa Afrika yakiongozwa na Tanzania yataanza kuondoka kisiwani humo mwisho wa mwezi huu na kundi jingine linatarajiwa kuondoka Mei mwaka huu.Waandishi kutoka vyombo mbalimbali vya habari nchini wako kisiwani humo kuripoti habari zilizotokana na vita iliyomalizika wiki iliyopita.
No comments:
Post a Comment