Saturday, April 5, 2008

Mgomo Reli...


Wafanyakazi wa shirika la Reli Tanzania(TRL)wakiwa na mabango nje ya ofisi za mamlaka hiyo wakidai nyongeza ya kima cha chini cha mshahara kuwa Sh 160,000 baada ya kugoma kufanya kazi hapo jana kushinikiza nyongeza hiyo ya mshahara ambapo pia abiria wengi waliathirika kutokana na mgomo huo.

No comments: