Thursday, April 17, 2008

Rais Kikwete anguruma UN.


Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wa Umoja wa Africa Jakaya Kikwete wa pili kulia, akihutubia baraza kuu la usalama la umoja wa mataifa jijini New York juu ya Umuhimu wa ushiriano kati ya Umoja wa Mataifa (UN) na Umoja wa Africa (AU) katika kudumisha hali ya Umoja na amani katika nchi za africa.

No comments: