ufafanuzi wa CCM juu ya kuenguliwa kwa Mwakalebela na wengine kuachwa wapete


Baada ya jina la Frederick Mwakalebela kuenguliwa katika orodha ya wagombea Ubunge kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi, CCM, baadhi ya watu wamekuwa wakihoji uhalali wa kufanya hivyo ilhali wana-CCM wengine wanaogombea viti hivyo katika majimbo mengine nchini wana kesi mahakamani lakini wameruhusiwa kuendelea na kinyang'anyiro hicho. Maswali hayo yaliifikia CCM na ufafanuzi wake unapatikana Michuzi Post...
No comments:
Post a Comment