Wednesday, August 4, 2010

miaka 10 ya mwanamuziki lady jaydee
Lady Jaydee akiwa na mai hazbendi wake gadna G. habash wakionesha fulana maalumu kwa ajili ya kusherehekea miaka 10 ya mwanamuziki huyu hodari ambayo kilele chake kitakuwa ijumaa hii pale Mzalendo Pub Millenium Towers jijini Dar kwa onesho litaloenda sambamba na uzinduzi wa albamu ya kwanza ya Machozi Band.

No comments: