Monday, August 9, 2010

Natoka Kidogo Ndugu Zangu.....



Leo jumatatu tarehe 9 natarajia kuondoka asubuhi na mapema kuelekea masomoni
NAIROBI kwa muda wa mwezi mmoja tu...so katika kipindi hiki cha ramadhani nimeamua kwenda kuongeza kitu fulani katika kichwa changu.

Naomba radhi kwenu kwamba blog itakuwa kimya kwa mwezi mmoja, ili niwe
siriaz na book kidogo ndugu zangu.

NAWAPENDA WOTE NA ASANTENI KWA KUNISOMA.
ONE..

DJ
CHOKAA

No comments: