Sunday, August 15, 2010

Dk. Shein afutarisha dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete wa pili kushoto, Rais mstaafu wa awamu ya tatu wa Tanzania Mhe. Benjamin William Mkapa kushoto, Makamu wa Rais Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein wa pili kulia, na Rais Mstaafu wa awamu ya pili wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi kulia, wakila futari ya pamoja iliyoandaliwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein nyumbani kwake Kilimani mjini Dodoma Juzi jioni.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein kushoto, akiagana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, baada ya kula futari ya pamoja iliyoandaliwa na Makamu wa Rais Dk. Ali Mohamed Shein nyumbani kwakwe kilimani mjini Dodoma Juzi jioni. Picha na Amour Nassor wa VPO


No comments: