Sunday, August 15, 2010

Mapenzi Ya Nitesa - Mbaraka Mwinshehe 1972

Mambo ya zamani nayakubali sana na nimeyapata kwa msaada mkubwa wa blog ya ankal Michuzi. Ila kinachonikera ni nyimbo za sikuhizi huwezi kuzisikiliza kwa muda mrefu jamani tubadilike tufuraie miziki hii ya kisasa.

No comments: