Thursday, August 19, 2010

mussa hassan 'Mgosi' amnyanyasa Shadrack Nsajigwa

Mshambuliaji hatari wa Simba Mussa Hassan 'Mgosi'
akimpiga chenga ya mwili beki wa Yanga Shadrack Nsajigwa
Nsajigwa anaingia maboya na kwenda chini, wakati Mgosi huyoo...
Nsajigwa anajaribu kuwahi...
Lakini wapi...

Katika mechi hii ya ngao ya hisani iliyofanyika Neshno Yanga walishinda 3-1 kwa penati. Kwa picha zaidi na habari nenda michuzipost:

No comments: