Friday, July 17, 2009

tuzo milionea apewa milioni 100 zake Jana
Mkurugenzi wa Masoko wa Vodacom Tanzania Ephraim Mafuru (shoto) na Mkuu wa Idara ya Huduma kwa Wateja wa rejareja wa KCB Felix Mlaki (kulia) wakimkabidhi Tuzo Milionea 2009 Renatus Mkinga na mai waifu wake Kiticha chake cha shilingi milioni 100 mchana huu katika hoteli ya Kempinski Dar.
shilingi milioni 100 keshi alizoshinda Tuzo Milionea 2009 Renatus Mkinga zikoneshwa baada ya kukabidhiwa rasmi kwa mwenyewe mchana wa jana

Mh ningekuwa mie !!!

No comments: