SHUKRANI TOKA KWA BALOZI MAHARAGE
Rais Mstaafu Mh. Benjamin William Mkapa akimfariji Balozi Mohamed Maharage Juma baada ya mazishi ya bintiye katika makaburi ya Kisutu jijini Dar. Kati ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mh Bernard Membe
Baadhi ya waombolezaji waliofika katika mazishi hayo
Rais Mstaafu Mh. Benjamin Mkapa akijiandaa kuweka udongo kaburini
Wakati wa mazishiFAMILIA INATHAMINI FADHILA HII KUBWA YA UPENDO KATIKA KIPINDI HIKI KIGUMU NA INAWAOMBEA NYOTE KHERI NA AMANI NA FAMILIA ZENU.
INA LILAHI WA INA ILAHI RAJOOON
MOHAMED MAHARAGE JUMA

No comments:
Post a Comment