Saturday, July 18, 2009

taaanzania tanzaniaaaa nakupenda kwa moyo wooote.!

Hivi haya mambo ya kufanyiana ubabe wa namna hii mbele ya hadhara,wakati sheria zipo na kwa utaratibu unaoeleweka kabisa utakwisha likini.??!,Lakini mpaka tufikie kudharirishana kama hivi pichani ati tu kwa sababu umepewa mamlaka ya aina flani,Jamani haya mambo inabidi yafike pahala "Yachukuliwe hatua kali ya kinidhamu"!
Nawakilisha haya kwa uchungu kwa sababu naipenda nchi yangu kwa moyo wote.!
Mungu Ibariki Afrika
Mungu Ibariki Tanzania

Picha kwa hisani ya gazeti la Majira la Juzi.

1 comment:

sothosh said...

7a replica bags wholesale gucci replica m2e98e3b82 replica bags in uk replica bags wholesale important link e9o17v4h56 replica bags in pakistan find p7e65d1u67 replica louis vuitton replica bags nyc