
Jumatano mchana jijini Dar kulitokea ajali iliyosababishwa na lori lenye namba za usajili T.655 AFW lililokuwa likitokea Mkoani Morogoro ambapo magari matano yaligongana,ambapo katika ajali hiyo mtu mmoja muuza magazeti amefariki.Pichani wakazi wa Jiji la Dar es Salaam wakiangalia magari hayo yaliyotumbikia kwenye mtaro eneo la Ubungo Maji jijini Dar.
No comments:
Post a Comment