Saturday, April 12, 2008

Maandamano Makubwa Ya CUF Kufanyika Leo


Yatafanyika Zanzibar. Baadae miji mingine mikubwa ya Jamhuri ya Muungano. Yataongozwa na Mwenyekiti wa CUF, Bw. Ibrahim Lipumba. Mbowe na Mrema nao watashiriki. Ni ya kushinikiza kufikia makubaliano ya muafaka Zanzibar. Kwa mujibu wa Lipumba ( BBC jana) maandamano hayo yanatarajiwa kuwa makubwa kuwahi kutokokea Zanzibar. Natusubiri tuone.

No comments: