Monday, September 6, 2010

JK alipokuwa kilosa

JK akiwahutubia wakazi wa Kilosa mkoani Morogoro jana mchana katika mkutano wa kampeeni ya chama hicho, uchaguzi mkuu wa Tanzania utafanyika oktoba 31 mwaka huu nchini kote kwa ajili ya Rais, Wabubge na Madiwani.
Mamia ya wakazi wa mji wa Kilosa wakimsikiliza JK akihutubia mkutano wa Kampeni mjini Kilosa jana mchana(picha na Freddy Maro).

No comments: