Thursday, September 9, 2010

BAADA YA KUTOKA NJE YA NDOA ,ROONEY USO KWA USO NA MKEWE…!!

Dunia ya mke wa mchezaji mpira maarufu wa uingreza na timu ya Man utd Wayne Rooney imekuwa chungu ndani ya siku tatu ni baada ya habari kuvuja kwenye magazeti zikimuumbua mumewe kufanya mapenzi nje ya ndoa wakati mkewe akiwa mjamzito.

Mwanamama huyo Coleen (24) hivi karibuni ndio amejitokeza hadharani na kusema amepanga kukutana na mumewe huyo siku atakayorudi toka Switzerland ambapo alienda kwa ajili ya mechi dhidi ya timu ya taifa hilo iliamweleze vizuri. Kwa sasa mwanamama huyo anakaa kwa wazazi wake

Blog team: Mwaka huu umekuwa mbaya kwa watu maarufu wengi kuachana na wake zao au kutoka nje ya ndoa zao. Kwa uchache nia hawa hapa. Tiger woods, Swizz Beats, T.I, Frank Lampard, Peter Crouch,

No comments: