Tuesday, April 14, 2009

bongo star search 2009 mtwara yafana

Washindi BSS Mtwara (wenye t-shirts nyeupe) wakiwa kwenye picha ya pamoja na

Mwakilishi wa Vodacom Elihuruma Ngowi baada ya kumalizika kwa usaili wa BSS Mtwara 2009.
Mshiriki wa BSS Mtwara akiwa kwenye foleni ya usaili wa M-PESA
Washiriki wa BSS Mtwara wakiwa kwenye msururu mrefu
wakati wa usaili Mtwara Technical College

Washindi wa BSS Mtwara (wenye t-shirts nyeupe) wakiwa kwenye picha ya pamoja na
Majaji wa BSS Mdame Ritha Paulsen, P-Funk na Master J.

Hii ni mara ya kwanza nchini Tanzania kwa Vodacom Tanzania kuwekeza kwenye kinyang’anyiro cha kuibua na kuendeleza vipaji vya muziki ijulikanayo kama Bongo Star Search 2009. Uwekezaji huo wa Vodacom umelenga katika kuongeza mikoa ambayo kuna vipaji vingi vya kuimba ambavyo vinahitaji kuibuliwa na kuendelezwa tofauti na miaka ya nyuma. Mikoa iliyoongezwa ni pamoja na Tanga, Kigoma, Tabora na Kigoma.

No comments: