Saturday, April 25, 2009

uji wa mfinyanzi dar
linbeneke linaendelea na uji wa mfinyanzi
njia hii inayokatisha viwanja vya jangwani inahitaji ubunifu kidogo tu kuelewa kwamba endapo itatengenezwa itasaidia sana foleni katikati ya jiji, ukizingatia mdau akitaka kwenda kigogo ama ilala akitokea sehemu za faya ama jangwani hana haja ya kupita shule ya uhuru.

ama anayetoka magomeni ama mwananyamala na anataka kwenda sehemu za ilala ama temeke hana haja ya kuzunguka aida barabara za kawawa rodi ama morogoro rodi. tutumai kwamba mh. william lukuvi atafanya mambozzz hapa akiwa kama mkuu mpya wa mkoa wa dar. wazee wa jiji mpoooo???

No comments: