Monday, April 20, 2009

jigga na beyonce walifanya nini walipotua bongo?
beyonce akiwa mitaa ya kati mwananyamala
kuna wadau huko ughaibuni wanabishana eti siku Jay Z na Beyonce walipokuja bongo hawakukanyaga uswazi. Hapo ni mwananyamala ambapo anaonekana jigga akimtwika mama ndoo ya maji baada ya kuzindua bomba jipya

No comments: