Tuesday, April 14, 2009

harambee ya kusaidia msondo kupata vyombo vipya yazinduliwa
kiongozi wa msondo ngoma music band muhidin maalim gurumo akifafanua jambo kwa waandishi wa habari kuhusu harambee iliyoanzishwa ya kila mlaji wa safari lager kuchangia ili bendi hiyo ipate vyombo vipya. meneja wa safari lager, fimbo butala, yuko pembeni. jumla ya tshs. milioni 50 zinatarajiwa kukusanywa ili kuipatia bendi hii kongwe vyombo vipya.

No comments: