Saturday, July 26, 2008

Wazee Watinga Ikulu!
Ni wale wa Jumiya ya Afrika Mashariki iliyovunjika. Mwingireza alitoa mafao yao. Wenzao wa Kenya na Uganda wameshavuta kilicho haki yao, hapa Tanzania bado wanapigwa danadana. Jana mchana niliwakuta wamekaa chini ya mti wa nje ya lango la Ikulu. Naambiwa wamepiga kambi hapo ili wakutane na mheshimiwa Rais. Kila la Heri!

No comments: