Thursday, July 24, 2008

Kituo Cha Watoto Yatima
Hombolo..
Katibu Mkuu Katika Ofisi ya Waziri Mkuu,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa,Maimuna Tarisho akiwa amembeba,Christina wakati alipoambatana na Waziri Mkuu,Mizengo Pinda katika ziara ya kuembelea Kituo cha Watoto Yatima cha Hombolo,Dodoma Julai 20,2008.
Wazee Maria Elias(kushoto)na Hagali Mbumi ambao,wanaotunzwa katika kituo cha watoto yatima na wasiojiweza cha Hombolo,Dodoma wakiwa kituoni hapo Julai 20,2008.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments: