Tuesday, July 29, 2008

Chacha Wangwe Afariki
Dunia..
Mbunge wa Tarime kupitia chama cha CHADEMA Mh Chacha Wangwe(Pichani)amefariki Dunia usiku huu kwa ajali ya gari ilitotokea sehemu ya Kongwa Mkoani Dodoma hii ni kwa mujibu wa Itv usiku huu.Taarifa zaidi zitawajia Punde.Mwenye Mungu ailaze Roho ya Marehemu Mahala Pema Peponi Amen

No comments: