Monday, July 28, 2008

Jengo lawaka Moto
Dar...
Magari ya Zimamoto ya Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam,yakitoa huduma ya kuzima moto uliokuwa ukiwaka katika moja ya jengo Mtaa wa Samora eneo la Clock Tower leo jijini Dar es Salaam.Picha hii ni ya Mdau Yusuf Badi

No comments: