Monday, July 28, 2008

Kikao....
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akiwa kwenye kikao na baadhi ya wabunge wanawake ofisini kwake,bungeni mjini Dodoma Juzi.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.