mwaka kogwa 2008 makunduchi

kibanda hujengwa asubuhi mapema na kuchomwa moto mchana katika kuhitimisha sherehe za mwaka kogwa, kwa mujibu wa mdau abdallah pandu wa ziff aliyetuwakilisha huko

makunduchi panakuwa hapatoshi wakati wa mwaka kogwa

kinamama wakiimba na kucheza wakati wa kuadhimisha mwaka kogwa huko makunduchi

juu wadau wakikimbia na kuimba wakati wa sherehe za mwaka kogwa huko makunduchi wikiendi ilopita, na chini wakipigana bakora za majani ya migomba kuondoa kinyongo. hizi ni sherehe za kuhitimisha mwaka mpya wa ki-shirazi zinazofanyika kila mwezi julai.
bofya hapa
No comments:
Post a Comment